Sunday, August 18

CCM YATAKA JESHI LA POLISI KUMHOJI MBOWE KUHUSU KIFO CHA MWANACHUO NIT

0


Chama cha CCM kupitia katibu wake wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole kimelitaka jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa chama hicho walioshiriki maandamano haramu jana yaliyopelekea mwanafunzi wa chuo cha Taifa cha usafirishaji kupigwa risasi na polisi wakati wakiwatawanya wafuasi wa chama hicho kitendo kilichopelekea mwanafunzi huyo kupoteza maisha.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.