Sunday, August 25

Victoria Beckham Apata inspiration toka kwenye mifuko ya Sandarusi???

0


Victoria Beckham anajulikana sana kutoka kwa kundi la spice girls lakini amejitengenezea heshima kubwa kupitia clothing like yake ya VB ambayo imemtambulisha vyema kwenye ulimwengu wa mitindo.
Wakati sisi huku tukiibeza hii mifuko ya shangazi kaja au sandarusi kwa jina lingine ,majuu huko watu wanachukua inspiration na ku make money.
Kama VB hapa na huu muonekano wake wa tartan two piece outfit ambayo ukicheki vizuri kama kapata inspiration yake kutoka kwenye mifuko hii ambayo ni maarufu sana barani Africa.

Read More

Share.

About Author

Comments are closed.