Sunday, August 25

Tops za Kitenge unazoweka kuvalia Jeans

0


Kwa wale wanaopenda fashooon leo na share mishono mbalimbali ya tops ambazo zitakua perfect kuvalia na jeans zako.
You just have to choose mshono upi then washona na kutupia.
Off shoulder top 

peplum na puffy sleeves 

short sleeved peplum top waweza match na turban 

blazer waweza igeuza kua top 

love this top kama kanzu flani 

long line top

napenda hii yenye slit nyuma 

Read More

Share.

About Author

Comments are closed.