Monday, March 18

MAHREZ, SANE WAFUNGA MANCHESTER CITY YAICHAPA WATFORD 2-1 VICARAGE

0


MAHREZ, SANE WAFUNGA MANCHESTER CITY YAICHAPA WATFORD 2-1 VICARAGE – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEMAHREZ, SANE WAFUNGA MANCHESTER CITY YAICHAPA WATFORD 2-1 VICARAGE – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Mshambuliaji wa kimataifa wa Algeria, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 51 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage. Bao la kwanza la Man City lilifungwa na Leroy Sane dakika ya 40, wakati bao la kufutia machozi la Watford lilifungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 85 
  
Share.

About Author

Leave A Reply