Thursday, August 22

NAIBU WAZIRI SUBIRA MNGALU AKAGUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME NA KUSAMBAZA MKOANI MTWARA

0


Naibu Waziri wa Nishati, Subira Hamisi Mgalu akikagua kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza umeme mkoani Mtwara . wakati alipotembelea kituo hicho jana akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalaama,  Evod Mmanda.


Naibu Waziri wa Nishati  Subira Hamisi Mgalu akipata maelezo katika kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza umeme mkoani Mtwara wakati akipokea ripoti ya kituo hicho alipotembelea akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalaama,  Evod Mmanda.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.