Sunday, August 25

MKUU WA WILAYA YA MTWARA AKAGUA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MANGOPACHANNE

0
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mtwara Mh. Evod Mmanda metembelea na kukagua ujenzi wa shule ya sekondari ya kata ya Mangopachanne Mtwara vijijini na kujionea ujenzi wa shule hiyo unavyendelea.

Mh. Mmanda amemuaguza mkandarasi wa ujenzi wa shule hiyo kufanya kazi kwa bidii na kukamilisha mradi huo ndani ya muda uliopangwa ili shule hiyo ianze kutumika na kuwasaidia wanfunzi kutotembea umbali mrefu kwenda kupata elimu.


Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mtwara Mh. Evod Mmanda akitoa maagizo wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa shule hiyo.

Diwani na wataalamu wa halmashauri nilioandamana na na Mkuu wa wilaya huyo hayupo pichani mara baada ya kukagua ujenzi huo.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.