Monday, June 17

Ripoti Ya furaha Ya Umoja Wa Mataifa Ya Mwaka 2018

0


Ripoti ya furaha ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2018 inaonesha kuwa nchi za Skandnavia (Finnland, Denmark, Norway) zinaongoza kwa kuwa na watu wenye furaha zaidi duniani. Kwa upande mwingine, nchi za Afrika Mashariki (Burundi, Tanzania, Rwanda, Sudan Kusini), ziko katika mataifa kumi yanayoshika mkia katika orodha ya jumla ya mataifa 156. Burundi ikibeba bango la watu waliokosa furaha.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.