Monday, June 17

Rais Wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim Amekataa Kujiuzulu

0


Akiapa kupambana na madai ambayo yamemtumbukiza katika kashifa kubwa la kifedha. Gurib-Fakim, Rais huyo pekee mwanamke barani Afrika, anatuhumiwa kwa kutumia kadi ya benki aliyopewa na shirika moja lisilo la kiserikali kujinunulia bidhaa na kulipia huduma.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.