Tuesday, August 20

Wananchi walivyomkataa Mkuu wa Wilaya mbele ya Waziri Mkuu

0


Wananchi wa Wilaya Kwimba wamejitokeza na mabango mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa wakati wa ziara yake kwenye Wilaya hiyo wakishinikiza kuwa hawamtaki Mkuu wa Wilaya wa Kwimba kwa madai amekuwa akiwafanyisha kazi wananchi kwenye mashamba yake bila ya kuwalipa na kuwakamata bila kosa.

Wazii Mkuu baada ya kusoma mabango ya wananchi amemuagiza Mkuu wa Mkoa John Mongella kulifanyia uchunguzi ili majibu yapatikane upesi.

[embedded content]

MBOWE ALIVYOFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI KINONDONI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

[embedded content]Read More

Share.

About Author

Comments are closed.