Wednesday, August 21

VODACOM YASAJILI WANAFUNZI MFUMO MPYA WA ALAMA ZA VIDOLE JIJINI DODOMA

0


 Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Michael Mhando na Emmanuel Medukenya wakisajili
wanafunzi kwa kutumia mfumo mpya wa alama za vidole katika viwanja vya
chuo kikuu cha Dodoma, jijini humo. Hivi karibuni kampuni hiyo
imewezesha wafanyakazi wake na vifaa vya kusajilia kwa kutumia alama za
vidole ili kurahisisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa wateja wake popote
nchini.

Share.

About Author

Leave A Reply