Thursday, July 18

Vodacom watunukiwa tuzo ya NEEC

0Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Kassim Majaliwa (Kulia) akimpongeza na kumkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Bi Rosalynn Mworia (kushoto) kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kuinua wananchi kiuchumi wakati wa semina ya uwezeshaji wananchi kiuchumi uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bi. Rosalynn Mworia akizungumza na wadau mbalimbali wa masuala ya kiuchumi katika semina ya uwezeshaji wananchi kiuchumi iliyofanyika jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Share.

About Author

Leave A Reply