Sunday, August 18

Vodacom Tanzania yazindua duka jipya kwa wateja wake ndani ya Aura mall jijini Dar

0


 Mkuu
wa Mauzo Kanda ya Dar na Pwani, George Lugata  (kushoto) na bwana 
Mirza Ngoshani (mwenye Tshirt ya blue)   wakikata utepe kuzindua duka
jipya la Vodacom katika jengo la Aura mall hivi karibuni jijini Dar es
Salaam. Mpaka sasa, kampuni ya Vodacom ina maduka 100 na inaendelea
kupanua upatikanaji wa huduma ili kuwawezesha wateja wake kupata huduma
kirahisi zaidi. Wengine pichani ni watoa huduma wa duka hilo duka hilo
jipya litakalotoa huduma kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa
tatu usiku. 

Mkuu
wa Mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar na Pwani, George Lugata (wa pili
kulia) akizungumza na wageni na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania baada ya
uzinduzi wa duka jipya la kampuni hiyo lililopo katika jengo la Aura
mall jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom ina maduka 100 na
inaendelea kupanua upatikanaji wa huduma ili kuwawezesha wateja wake
kupata huduma kirahisi zaidi. Wengine pichani ni watoa huduma wa duka
hilo duka hilo jipya litakalotoa huduma kila siku kuanzia saa tatu
asubuhi hadi saa tatu usiku.
    

Share.

About Author

Leave A Reply