Wednesday, August 21

Tigo yaendesha zoezi la usajili wa laini Wizara ya Mambo ya Ndani

0

 Afisa huduma kwa wateja kutoka Kampuni ya Tigo Obrien Kinunda, akimsajilia  laini ya simu Mkuu wa Nidhamu wa Jeshi la Polisi Oscar Mushi kwa kutumia mfumo mpya wa usajili unatumia alama za vidole katika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam jana.

Afisa huduma kwa wateja wa kampuni ya Tigo
Nimzihirwa Elias, akimsajilia laini ya simu mmoja wa wateja wa kampuni hiyo
ambaye ni mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kutumia utaratibu mpya wa
usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole zoezi lililofanyika makao
makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Afisa huduma kwa wateja wa kampuni ya Tigo Pendo Stephen,
akimsajilia laini ya simu mmoja wa wateja wa kampuni hiyo ambaye ni mtumishi wa
Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kutumia utaratibu mpya wa usajili wa laini za simu
kwa kutumia alama za vidole zoezi lililofanyika makao makuu yan Wizara hiyio
jijini Dar es Salaam jana.

Share.

About Author

Leave A Reply