Monday, August 19

SPIKA NDUGAI AFUNGUA WARSHA YA UFUATILIAJI NA TATHMINI ZA SERA NA PROGRAMU ZA MAENDELEO BUNGENI JIJINI DODOMA

0


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na Wabunge na Wajumbe Chama cha Tathmini na Ufuatiliaji
Tanzania na wawezeshaji kutoka nchi za Uganda na Srilanka(hawapo kwenye
picha) wakati akifungua warsha ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Sera na
Programu za Maendeleo kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa
Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti Chama cha Tathmini na
Ufuatiliaji Tanzania (TanEA), Dkt. Francis Mwijande, Katibu wa Wabunge
Chama cha Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania , Dkt. Semesi Sware (wa pili
kushoto) na Mjumbe kutoka Chama cha Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania
(TanEA), Ndg. Isaac Kiwango

V25A3557A

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na Wabunge na Wajumbe Chama cha Tathmini na Ufuatiliaji
Tanzania (TanEA) pamoja na wawezeshaji kutoka nchi za Uganda na Srilanka
wakati akifungua warsha ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Sera na Programu
za Maendeleo kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni
Jijini Dodoma.

V25A3513A

Katibu wa Wabunge wa Afrika upande
wa Tanzania Chama cha Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania (wa pili
kushoto), Dkt. Semesi Sware akizungumza na Wabunge Chama cha Tathmini na
Ufuatiliaji Tanzania(hawapo kwenye picha) na wawezeshaji kutoka nchi za
Uganda na Srilanka wakati akifungua warsha ya Ufuatiliaji na Tathmini
ya Sera na Programu za Maendeleo kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi
wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Spika wa Bunge, Mhe.
Job Ndugai, Mwenyekiti Chama cha Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania
(TanEA), Dkt. Francis Mwijande (wa pili kulia) na Mjumbe kutoka Chama
cha Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania (TanEA), Ndg. Isaac Kiwango

V25A3592A

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakifuatilia warsha iliyotolewa na Chama cha
Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania (TanEA) kikao kilichofanyika leo katika
Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

V25A3704A

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe Chama cha
Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania na wawezeshaji kutoka Uganda na
Srilanka baada ya kufungua warsha ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Sera na
Programu za Maendeleo tukio lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Msekwa
Bungeni Jijini Dodoma.

V25A3672A

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Wabunge,
Wajumbe Chama cha Tathmini na Ufuatiliaji Tanzania na Wawezeshaji
kutoka nchi za Uganda na Srilanka baada ya kufungua warsha ya
Ufuatiliaji na Tathmini ya Sera na Programu za Maendeleo tukio
lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Share.

About Author

Leave A Reply