Sunday, August 25

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa
Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa
Mkuu wa Jimbo hilo.

8
9..

 Mke wa Rais Dkt. John Pombe
Magufuli  Mama Janeth Magufuli akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada
ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.

1

Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la
Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiongoza Ibada ya
kumsikima Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa
Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya katika Ibada iliyofanyika katika
uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

23

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa amekaa
kwenye kiti wakati Ibada ya kusimikwa kwake ikiendelea katika uwanja wa
Sokoine jijini Mbeya.

5

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akisalimiana na
Mapadre wa Kanisa Katoliki mara baada ya kusimikwa Rasmi kuwa Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya.

6

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa ameketi
kwenye Kiti cha Uaskofu pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa Katoliki
nchini.

9.11

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akipongezwa na
Maaskofu mbalimbali wa Kanisa Katoliki mara baada ya kusimikwa Rasmi.
PICHA NA IKULU

12

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa amekaa
kwenye kiti wakati Ibada ya kusimikwa kwake ikiendelea katika uwanja wa
Sokoine jijini Mbeya.

034A1097

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikusanya Sadaka kwa
waumini mbalimbali waliokusanyika katika uwanja wa Sokoine katika ibada
ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas
John Mwasikwabhila Nyaisonga

Share.

About Author

Leave A Reply