Saturday, August 24

RAIS DKT.MAGUFULI AWASILI NCHINI NAMIBIA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS WA NAMIBIA HAGE GEINGOB KATIKA IKULU NCHINI NAMIBIA

0Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya kuwasili Namibia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo yake na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob ambaye alikuwa akiongoza ujumbe

wake mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu hiyo ya Namibia.

Share.

About Author

Leave A Reply