Sunday, August 25

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA JENGO LA NHIF NA KUHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI WA JIJI LA MBEYA

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za NHIF
lililopo jijini Mbeya leo tarehe 26/04/2019.

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Afya
Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi za NHIF lililopo
jijini Mbeya leo tarehe 26/04/2019.

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Bodi ya  Mfuko huo
wa Bima ya Afya Anna Makinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo
hilo.

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kwenye jengo hilo
la NHIF mara baada ya kulifungua.

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia na kuwashukuru
wananchi wa Mbeya waliokusanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani
Mbeya mara baada ya kuwasili.

67

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia na kuwashukuru
wananchi wa Mbeya waliokusanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani
Mbeya mara baada ya kuwasili.

Sehemu ya Wananchi wa Mbeya waliohudhuria Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya.

11

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa
Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.

12

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa
Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph
Mbilinyi akiwa na wananchi wengine akifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika
Viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU

Share.

About Author

Leave A Reply