Sunday, August 25

Benki ya NMB Tawi la Kisiwani Pemba Lafutarisha Wateja Wake na Wananchi.

0


MENEJA wa Bank ya NMB Kisiwani Pemba Ahmed Nassor, akitoa shukurani kwa wananchi na wateja wao waliohudhuria futari maalumu, iliyoandaliwa na Bank hiyo kwa wateja wao na kufanyika mjini Chake Chake

MENEJA wa NMB kanda ya Dar es Salam na Zanzibar Badru Iddi, akizungumzia juu ya mikakati ya NMB kwa wateja wake mara baada ya kumalizika kwa futari Maalumu iliyoandaliwa na benk hiyo na kufanyika mjini Chake Chake.

AFISA mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh Juma, akizungumza na wananchi na wateja wa NMB kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada ya kumalizika kwa futari maalumu iliyoandaliw ana bank hiyo kwa wateja wao na kufanyka mjni Chake Chake.

WAFANYAKAZI
wa Bank ya NMB Kisiwani Pemba, wananchi na wateja wao wakiwa katika
sala ya pamoja, iliyofanyika Chake Chake kuelekea kwenye futari maalumu
iliyoandaliwa na Banke ya NMB kwa wateja wake

AFISA
Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Ibrahim Saleh Juma (katikati)
akipata uji wakati wa futari maalumu iliyoandaliwa na bank ya NMB kwa
wateja wake, kulia ni meneja wa benk hiyo kanda ya Dar es Salam na
Zanzibar Badru Iddi na kushoto ni Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh
Mahmoud Mussa Wadi, futari hiyo imefanyika Chake Chake Pemba 

MENEJA
wa Bank ya NMB kanda ya Dar es Salam na Zanzibar Badru Iddi, akichukua
futari maalumu iliyoandaliwa na benk hiyo kwa wateja wake Kisiwani Pemba
na kufanyika mjini Chake Chake

BAADHI
ya wateja wa Bank ya NMB na wananchi wa Kisiwa cha Pemba, wakichukua
futari maalumu iliyoandaliwa na Bank hiyo kwa wateja wake na kufanyika
mjini Chake Chake’

AFISA
Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Ibrahim Saleh Juma (katikati)
akipata uji wakati wa futari maalumu iliyoandaliwa na bank ya NMB kwa
wateja wake, kulia ni meneja wa benk hiyo kanda ya Dar es Salam na
Zanzibar Badru Iddi na kushoto ni Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh
Mahmoud Mussa Wadi, futari hiyo imefanyika Chake Chake Pemba

VIONGOZI
wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kusini Pemba, wakiongoza na
Kamanda wa Polisi Mkoa huo Hassan Nassir Ali wa pili kutoka kulia,
akifuatiwa na Kamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania 14KJ Khamis,
wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na Bank ya NMB kwa wateja wao na
kufanyika Mjini Chake Chake

BAADHI
ya wafanyakazi wa NMB, wateja wao na wananchi wa Kisiwa cha Pemba,
wakichukuwa futari maalumu iliyoandaliwa na benk hiyo kwa wateja wao
Kisiwani hapa

BAADHI
ya wateja wa Banki ya NMB na wananchi akipata futari maalumu,
iliyoandaliwa na benk hiyo kwa wateja wao na kufanyika mjini Chake Chake

(Picha na Abdi Suleiman – Pemba).

Share.

About Author

Leave A Reply