Wednesday, August 21

BENKI YA EXIM YAFUTURISHA WATEJA WAKE WA JIJINI DAR ES SALAAM

0


Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Andrew Lyimo (kulia) sambamba na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo walioudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa huduma za reja reja wa benki hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam jana.

Mkuu
wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw
Andrew Lyimo (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo
waliohudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa
huduma za reja reja wa benki hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New
Africa jijini Dar es Salaam jana.

Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo na kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Andrew Lyimo (kulia) akizungumza wateja wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa huduma za reja reja wa benki hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam jana.

Mmoja wa wateja wa benki ya Exim Tanzania kutoka taasisi Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania, Bw Abdulrahman Mohamed Ame akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam jana.

Share.

About Author

Leave A Reply