Thursday, August 22

TANZIA: MTANZANIA LEYLA MTUMWA AUWAWA LONDON, UINGEREZA

0


Ndugu wapendwa watanzania na marafiki wa Tanzania wote, tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu Leyla Mtumwa kilichotokea tarehe 30 March 2018 mjini London. Inasadikiwa mauti yalimkuta  baada ya purukushani na mume wake ambapo alichomwa kisu na kufariki papo hapo. 

Mwili wa marehemu bado unahifadhiwa na polisi  kwa ajili ya uchunguzi, baada ya  taratibu nyingine. Tutakujulisheni taarifa nyingine tutakayoipata haraka iwezekanavyo.

Msiba utakuwa:
CM 18 7SD

Kama desturi yetu tulionayo kama jamii tunawaomba michango yenu kwa hali na mali ili kufanikisha zoezi la kuusafirisha mwili  wa marehemu kwenda Arusha,Tanzania. 

Account details: RMI Kieti 
Sort code 20-36-98  
Account no 63049248 
Bank. 

Kwa taarifa zaidi wasiliana na 
Malick Kieti 07787449340 .
Said John 07957542863.
Enzy Larusai 07956483352. Read More

Share.

About Author

Comments are closed.