Monday, August 19

TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

0Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC  Ndugu Elishilia    Kaaya anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bibi  ELIATIRISHA  TEVELI SUMARI kilichotokea katika Hospitali ya AICC jijini Arusha leo.


Mipango ya Mazishi inaendelea nyumbani kwa marehemu kijijini Nguruma, wilayani  Arumeru.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.

MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI  – AMENRead More

Share.

About Author

Comments are closed.