Wednesday, May 22

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE LA JAMUHURI YA WATU WA CHINA

0Sunday, November 18, 2018


RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya
China Mhe. Cai Defeng, alipowasili Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo wa Rais
wa Zanzibar leo tarehe 18/11/2018


RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa
Jamuhuri ya China, Ikulu Zanzibar, akitambulishwa na Makamu Mwenyekiti
wa Bunge Mr. Cai Defeng katikati.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa Jamuhuri ya
China Ikulu Zanzibar,kulia Makamu Mwenyekiti wa Bunge la China Mr. Cai
Defeng na Ujumbe wake walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
leo,18/11/2018

RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa China Mr.
Cai Defeng alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.akiwa na Ujumbe wake

RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed
Shein, akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa
Bunge la Watu wa Jamuhuri ya China na Ujumbe wake na Viongozi wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya mazungumzo yao Ikulu
Zanzibar.tarehe 18/11/2018
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Watu wa
Jamuhuri ya China Mr. Cai Defeng akimuonesha mandhari ya visiwa vya
Zanzibar wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya mazungumzo yao Ikulu
Zanzibar.leo tarehe 18/11/2018.(Picha na Ikulu

Share.

About Author

Leave A Reply