Tuesday, August 20

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU MBILI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter
Mutharika mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter
Mutharika mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka ndani ya ndege mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter
Mutharika wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa na Mizinga 21 ya Rais
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo
Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Malawi kwa heshima
yake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini
Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Malawi waliofika kumlaki
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi.
April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli na mwenyeji wake Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwasalimia
baadhi ya wananchi waliojitokeza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu
uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter
Mutharika, Mama Janeth Magufuli pamoja na Prof. Gertrude Mutharika kabla ya
kuweka mashada ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu
Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wameshika
mashada ya maua tayari kuyaweka katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof.
Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiweka mashada
ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika
eneo la Bunge la Malawi. April 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisali mara
baada ya kuweka mashada ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof.
Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi. April 24, 2019.

Kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi Hayati Prof. Bingu Mutharika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Bunge Malawi (nyuma yake ni mkewe Mama Janeth Magufuli
akishuhudia) April 24, 2019.

Share.

About Author

Leave A Reply