Sunday, August 18

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani
Mbeya mara baada ya kuwasili akitokea nchini Malawi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbeya
waliofika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyefika katika uwanja
wa ndege wa Songwe kumpokea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Mbalizi wakati akielekea Mbeya mjini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa
Mbalizi mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.

Wananchi wa Mafiati jijini Mbeya wakishangilia wakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) katika eneo la Mafiati
mara baada ya kuhutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Nzovwe mara baada ya kuwasili katika eneo hilo. PICHA NA IKULU.

Share.

About Author

Leave A Reply