Tuesday, August 20

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI MISA YA ALHAMISI KUU KATIKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waumini
wengine wa Kanisa Katoliki akishiriki Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam.

Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu
kanisani hapo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Share.

About Author

Leave A Reply