Thursday, August 22

NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA LEO

0


Baada ya kupata baraka zote toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mabingwa wa muziki wa starehe nchini The Kilimanjaro band Wana Njenje wamerudi upya pale pale Salender Club jijini Dar kuanzia Jumamosi hii ya leo Machi 31, 2018 na kila Jumamosi kuanzia saa tatu hadi majogoo kama kama kawaida yao. Usiseme hukuambiwa  Hallooo…Hallooooo..Read More

Share.

About Author

Comments are closed.