Thursday, February 21

NGULI WA RIWAYA MOHAMED S. MOHAMED NA ADAM SHAFI KUPAMBA KONGAMANO LA KISWAHILI ZANZIBAR

0


Kwa nini usishiriki katika Kongamano la Kimataifa la Pili linaloandaliwa na BARAZA LA KISWAHILI ZANZIBAR) BAKIZA mjini Zanzibar  Desemba  12 na 13 mwaka huu? Upo usiku wa Riwaya ambapo utapata fursa ya kuonana  uso kwa uso, kupeyana mikono, kuongea naye hata kupiga picha na mwanariwaya maarufu Prof. Said Ahmed Muhammed aliyeanza kutunga riwaya “Asali Chungu” na “Nyuso za Mwanamke”


Hili Kongamano ni muhimu sana katika kuinua fasihi yetu. Kimsingi sasa hivi waandishi wa riwaya zenye mafunzo na maudhui ya kudumu na useful kwa vizazi vijavyo ni wachache sana…anaseme Dkt. Muhammed Seif Khatibu, Waziri Mstaafu na mmoja wa mabingwa wa lugha ya Kiswahili nchini.

“Kusipokuwa na namna ya kurudisha na kuonyesha kazi ya fasihi, itapotea moja kwa moja. Tutaendelea kuburudika na akina Amberuty kwenye instagram na akina Diamond na miziki yao..na fasihi yetu ndio itakuwa tumeichimbia kaburi moja kwa moja..”maneno ya msomi mmoja aliyeko China

Share.

About Author

Leave A Reply