Monday, June 17

HONGERA ANGEL MICHAEL MACHELLAH KWA KUPATA KIPAIMARA LEO.

0


 Askofu msaidizi  wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Titus Mdoe (Kulia) akizungumza na Watoto waliopata Sakramenti ya Kipaimara katika Kanisa Katholiki la Kimara jijini Dar es Salaam. 
 Mtoto Angel Machellah(mbele) akiwa na watoto wenzie wakijiandaa kuingia kanisani wakati wa kupokea Sakramenti ya Kipaimara iliyofanyika katika Parokia ya Kimara Dar es Salam. 
 Angel akiwaongozwa wenzake kuingia Kanisani.Read More

Share.

About Author

Leave A Reply