Saturday, August 17

ZTE Axon M: Simu yenye screen mbili, fahamu muonekano wake

0


ZTE wamekuja na simu inayobeba jina la ZTE Axon M, simu hii inayotumia programu endeshaji ya Android imekuja na display mbili. Kwa haraka haraka kupitia ZTE Axon M, ZTE wanataka kufanikisha jambo ambalo wengi wameshakuwa wakijiuliza mara nyingi tuu – kwani ni lazima simu ya mkononi iendelee kuwa kama ilivyo ata baada ya miaka mingi […]

The post ZTE Axon M: Simu yenye screen mbili, ni simu inayoenda kinyume na tulichozoea appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.