Tuesday, August 20

Samsung waja na diski ya SSD yenye ujazo mkubwa zaidi, ni ya TB 30

0


Je unafahamu ya kwamba Samsung walikuwa wameshikilia rekodi ya utengenezaji wa diski ya SSD yenye ujazo mkubwa zaidi? Rekodi hiyo waliiweka takribani miaka miwili iliyopita walipotambulisha diski ya SSD yenye ujazo wa TB 15.36 – kwa wakati huo ndio ilikuwa kubwa zaidi. Diski yao mpya ina ujazo wa TB 30.72 na ina ukubwa wa inchi […]

The post Samsung waja na diski ya SSD yenye ujazo mkubwa zaidi, ni ya TB 30 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.