Thursday, August 22

Apple: Mpango wa kutengeneza kila kipuli kinachotumika kujenga iPhone

0


Apple ipo katika mpango wa kutengeneza kila kipuli kinachotumika kujenga iPhone. Kwa muda mrefu sasa kampuni hiyo imekuwa ikifanya kila wanaloweza kujaribu kuhakikisha wanatengeneza vipuli vyote muhimu vinavyotumika katika ujenzi wa simu ya iPhone. Katika ripoti iliyotolewa na mtandao wa bloomberg, inaonesha tayari Apple wapo katika hatua nzuri katika lengo lao la kutengeneza screen/display zao […]

The post Apple katika mpango wa kutengeneza kila kipuli kinachotumika kujenga iPhone appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.