Saturday, August 17

App ya DU Recorder: App ya kurekodi screen/display yako

0


Kuna wakati inawezekana unataka tu kurekodi kitu unachofanya kwenye simu yako ili upate kumtumia mtu mwingine; ili kumuelekeza jambo n.k App ya DU Recorder ni app ya bure yenye uwezo wa kurekodi screen /display ya simu yako. Hii ina maanisha itaweza kurekodi kila jambo linalofanyika kwenye simu yako. Sehemu ya kuanzisha na kusimamisha rekodi inayoendelea […]

The post App ya DU Recorder: App ya kurekodi screen/display yako appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.