Sunday, August 18

Youtube kuleta uwezo wa kuwa mubashara kwenye Android – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Mubashara (live stream) ni teknolojia ambayo inatokea kupendwa na wengi kutokana na ule uwezo wa kuonyesha watu kile ambacho mhusika anakifanya kwa wakati huo kupitia picha jongefu. Siunafahamu ya kuwa unaweza kurusha picha ya mnato ukiwa mubashara kwenye Facebook, Instagram na hata Twitter? Basi nao Youtube hapo njiani kuleta kitu kama hicho kwa watumiaji wa […]

The post Youtube kuleta uwezo wa kuwa mubashara kwenye Android appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.