Wednesday, August 21

Uraibu wa kutumia kompyuta: Serikali ya Korea Kusini yapata suluhisho – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Teknolojia imeleta mambo mengi sana duniani na matumizi ya kompyuta katika shughuli za kila siku kwa ofisi/makampuni mengine ni lazima lakini kuna yale matumizi ambayo ni ya kupindukia. Nikiuliza leo “Unatumia muda kiasi gani kutumia kompyuta?”, kwa hakika nitapata majibu mengi sana na tofauti tofauti kulingana na kila mtu kompyuta inavyomsaidia kutekeleza kazi zake za […]

The post Uraibu wa kutumia kompyuta: Serikali ya Korea Kusini yapata suluhisho appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.