Monday, August 19

Samsung yazindua Samsung Galaxy J7 Prime 2 kitofauti na ilivyozoeleka – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Wapenzi wa simu za Samsung hawakuwa wanajua kuhusu ujio Samsung Galaxy J7 Prime 2 lakini sasa ni wazi kwamba simu hiyo ilizinduliwa kimya kimya nchini India. Haijulikani kwanini Samsung hawakutaka kuufahamisha ulimwengu kuhusu ni lini na wapi simu hiyo ingezinduliwa lakini watu wakashangaa tu imeanza kuunzwa nchini India. Swali ambalo najua utakuwa unajiuliza ni “Samsung […]

The post Samsung yazindua Samsung Galaxy J7 Prime 2 kitofauti na ilivyozoeleka appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.