Thursday, August 22

Maboresho kwenye Instagram: Machapisho mapya kuonyeshwa kwanza

0


Uzuri na kinachovutia kwenye Instagram ni kuona machapisho ya picha/video kwenye Istagram ambapo itategemeana na watu uliowafuata. Ni muda sana Instagram walikuwa wagumu kuboresha ambacho wengi walikuwa wnakilalamikia lakini sasa wahusika wamesikia na kuboresha kile ambacho hakikuwapendeza wengi. Hapo awali ukifungua Instagram ulikuwa unaona machapisho ya mtu ya siku yoyote ile; kulikuwa hakuna mpangilio maalum […]

The post Maboresho kwenye Instagram: Machapisho mapya kuonyeshwa kwanza appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.