Thursday, August 22

Kampeni ya kutaka watu wafute akaunti zao za Facebook yaanzishwa – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Baada ya Cambridge Analytica kugundulika kutumia taarifa za watu kwenye Facebook mengi yameibuka baada ya taarifa hiyo na sasa kampeni maalum ya kuwashawishi watu kuacha kutumia Facebook imeanza kama mwarobaini wa wao kuwa salama mtandaoni. Kampeni hiyo ya #DeleteFacebook iliyoanzishwa na mwanzilishi mwenza wa WhatsApp, Bw. Brian Acton amekuwa mstari wa mbele kuhusu kampeni hiyo […]

The post Kampeni ya kutaka watu wafute akaunti zao za Facebook yaanzishwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.