Monday, August 19

Elon Musk afuta kurasa za SpaceX na Tesla kwenye Facebook baada ya kujaribiwa – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Mambo si mazuri kabisa kwa upande wa Facebook baada ya kukumbwa na kashfa inayopelekea watu kuanza kuukacha mtandao huo wa kijamii wenye watumiaji wengi ulimwenguni. Mara tu Bw. Brian Acton ambaye ni mwanzilishi mwenza wa WhatsApp (hivi sasa WhatsApp ipo chini ya Facebook baada ya kununuliwa kwa $16bn) kuanzisha kampeni ya kufuta akaunti ya Facebook […]

The post Elon Musk afuta kurasa za SpaceX na Tesla kwenye Facebook baada ya kujaribiwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.