Friday, August 23

Apple kuja na simu rununu zenye uwezo wa kukunja na kukunjua – TeknoKona Teknolojia Tanzania

0


Apple ipo mbioni kuleta simu tofauti na zile ambazo ulimwengu imezoea kuziona; simu ambazo zitakuwa na uwezo wa kukunja na kujikunjua 🙄 🙄 🙄 . Mpango wa Apple kutengeneza simu janja ambazo zina uwezo wa kukunja na kukunjua umekuwepo kwa miaka kadhaa sasa lakini taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema tutegemee kuona simu hizo mwaka […]

The post Apple kuja na simu rununu zenye uwezo wa kukunja na kukunjua appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.