Monday, August 19

PICHA : WABUNGE, MADIWANI WAANDAMANA OFISI, UMOJA WA ULAYA

0


Wabunge na Madiwani wa Chadema, leo mchana Machi 29, 2018 wameandamana kwenda ofisi za Umoja wa Ulaya (EU).

Wabunge hao wamekwenda katika ofisi hizo kulalamikia kile wanachofanyiwa viongozi sita wa chama hicho akiwamo mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe waliopo mahabusu.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema, “Tuko EU (Umoja wa Ulaya). Tupo wabunge wote tumeandamana kuja hapa kuleta kilio chetu.”
 
Miongoni mwa Viongozi waliofika katika ubalozi huo ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Meya wa Ubungo Bonface Jacob ambapo wametahadhalisha usalama wa Viongozi hao pamoja wafuasi wa chama hicho.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.