Sunday, August 25

STARS IMETUMIA LESO YA MCHANGA KUTUFUTA MACHOZI – Tanzania Sports

0Nyuso zetu zimejaa furaha, furaha ya muda mfupi. Furaha ambayo
imetusahaulisha kila tatizo lililopo katika familia yetu.
Familia yetu ina matatizo mengi sana, matatizo ambayo hayawezi
kuondolewa na furaha ya siku moja
Tunajaribu kujificha nyuma ya shina la mchicha tukiiamini…

The post STARS IMETUMIA LESO YA MCHANGA KUTUFUTA MACHOZI appeared first on Tanzania Sports.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.