Sunday, August 25

WILDER ASHINDA KWA KNOCKOUT RAUDI YA KWANZA /TU MAREKAI

0


WILDER ASHINDA KWA KNOCKOUT RAUDI YA KWANZA /TU MAREKAI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEWILDER ASHINDA KWA KNOCKOUT RAUDI YA KWANZA /TU MAREKAI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Bondia Deontay Wilder akiondoka akimuacha mpinzani wake Dominic Breazeale, wote wa Marekani ameanguka baada ya kumpiga ngumi kali katika pambano la uzito wa juu Afajiri ya leo ukumbi wa Barclays Center mjini Brooklyn. Wilder alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya kwanza 
Share.

About Author

Leave A Reply