Tuesday, August 20

VILLA WAIPIGA DERBY 2-1 NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND

0


VILLA WAIPIGA DERBY 2-1 NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEVILLA WAIPIGA DERBY 2-1 NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Wachezaji wa Aston Villa wakishangilia baada ya kuifunga 2-1 Derby County usiku wa jana Uwanja wa Wembley katika mechi ya fainali ya mchujo wa kupanda wa Ligi Kuu England. Mabao ya Villa inayorejea Ligi Kuu tangu ishuke mwaka 2016 yamefungwa na Anwar El Ghazi na John McGinn huku la Derby County likifungwa na Jack Marriott 
Share.

About Author

Leave A Reply