Sunday, August 18

VAN DIJK ASHINDA TUZO YA PFA, STERLING ACHUKUA YA CHIPUKIZI

0


VAN DIJK ASHINDA TUZO YA PFA, STERLING ACHUKUA YA CHIPUKIZI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEVAN DIJK ASHINDA TUZO YA PFA, STERLING ACHUKUA YA CHIPUKIZI – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Beki Mholanzi wa Liverpool, Virgil van Dijk akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) baada ya kukabidhiwa usiku wa jana ukumbi wa Grosvenor House mjini London kufuatia kumshinda Raheem Sterling wa Manchester City ambaye hivyo, alijifariji kwa ushindi wa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi 
Share.

About Author

Leave A Reply