Sunday, August 18

VALENCIA YAIPIGA 2-0 VILLAREAL NA KUTINGA NUSU FAINALI ULAYA

0


VALENCIA YAIPIGA 2-0 VILLAREAL NA KUTINGA NUSU FAINALI ULAYA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEVALENCIA YAIPIGA 2-0 VILLAREAL NA KUTINGA NUSU FAINALI ULAYA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Beki wa Valencia, Mouctar Diakhaby akijaribu kumzuia Daniel Raba wa Villareal katika mchezo wa marudiano wa Europa League usiku wa jana Uwanja wa Mestalla. Valencia ilishinda 2-0, mabao ya Toni Lato dakika ya 13 na Dani Parejo dakika ya 54 na kutinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-1 na sasa itakutana na Arsenal 
Share.

About Author

Leave A Reply