Wednesday, August 21

VALENCIA WATWAA KOMBE LA MFALME BAADA YA KUIPIGA BARCELONA 2-1

0


VALENCIA WATWAA KOMBE LA MFALME BAADA YA KUIPIGA BARCELONA 2-1 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEVALENCIA WATWAA KOMBE LA MFALME BAADA YA KUIPIGA BARCELONA 2-1 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Nahodha wa Valencia, Dani Parejo akiinua Kombe la Mfalme baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona usiku wa jana katika mchezo wa fainali Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Mabao ya Valencia yalifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 21 na Rodrigo dakika ya 33 kabla ya Lionel Messi kuifungia Barcelona bao lake pekee dakika ya 73 
Share.

About Author

Leave A Reply