Friday, August 23

SEBASTIAN RODE AIPELEKA FRANKFURT NUSU FAINALI ULAYA

0


SEBASTIAN RODE AIPELEKA FRANKFURT NUSU FAINALI ULAYA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINESEBASTIAN RODE AIPELEKA FRANKFURT NUSU FAINALI ULAYA – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Kiungo wa zamani wa Bayern Munich, Sebastian Rode akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Eintracht Frankfurt ikiilaza 2-0 Benfica katika mchezo wa marudiano Robo Fainali Europa League usiku wa jana Uwanja wa PSD Bank Arena mjini Frankfurt am Main na kufanya sare ya jumla ya 4-4 lakini akiiwezesha timu yake kusonga mbele kwa mabao ya ugenini kufuatia kufungwa 4-2 kwenye mchezo wa kwanza 
Share.

About Author

Leave A Reply