Wednesday, August 21

SAMATTA ALIVYOKABIDHIWA TUZO NA KOMBE LA UBELGIJI JANA GENK

0


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwa na tuzo yake ya Mwasoka Bora wa Afrika katika Ligi ya Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana kufuatia sare ya 0-0 na Standard Liege kwenye mchezo wa mwisho wa msimu Uwanja wa Luminus Arena

Mbwana Samatta akipongezwa jana Uwanja wa Luminus Arena baada ya kupewa tuzo zake

Mbwana Samatta akishangilia Kombe la ubingwa wa Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Luminus Arena

Mbwana Samatta akishangilia Kombe la ubingwa wa Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Luminus Arena 

Mbwana Samatta akishangilia na wachezaji wenzake wa KRC Genk baada ya kukabidhiwa Kombe la ubingwa wa Ubelgiji  

Mbwana Samatta akipiga picha na rafiki yake  Uwanja wa Luminus ArenaShare.

About Author

Leave A Reply