Saturday, August 24

REAL WALIVYOMUAGA ANDRES AVELINO JUNQUERA WAKIPIGWA 2-0

0


REAL WALIVYOMUAGA ANDRES AVELINO JUNQUERA WAKIPIGWA 2-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINEREAL WALIVYOMUAGA ANDRES AVELINO JUNQUERA WAKIPIGWA 2-0 – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Wachezaji wa Real Madrid wakiwa kimya kwa dakika moja kutoa heshima zao za mwisho kwa kipa wa zamani wa klabu hiyo, Andres Avelino Junquera aliyefariki dunia Mei 6. Hiyo ilikuwa ni kabla ya mchezo wao wa mwisho wa La Liga jana Uwanja wa Bernabeu wakifungwa 2-0 na Real Betis, mabao ya Loren Moron na Jese 
   
Share.

About Author

Leave A Reply