Sunday, August 18

NI ARSENAL NA VALENCIA NUSU FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE

0


NI ARSENAL NA VALENCIA NUSU FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINENI ARSENAL NA VALENCIA NUSU FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE – BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 36 ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji, Napoli kwenye mchezo wa marudiano Robo Fainali UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli. Kwa matokeo hayo, Arsenal inatinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-0 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza London na sasa itamenyana na Valencia 
Share.

About Author

Leave A Reply